Diocesan Priests

1. Kuzaliwa: 21.01.1961  - Kilomeni

 2. Baba: Aloyce Hilay Lughendo/ Mama Apolonia Silivery

3. Ubatizo: 31.01.1961 (namba 7300)

4. Komunio ya Kwanza: 09.04.1972

5. Kipaimara: 31.10.1979

6. Elimu ya Msingi: Kilomeni 1970 - 1977

7. Elimu ya Sekondari: 1978 - 1981 Kidato 1 - 4 Seminari ya Mt. Petro ( Morogoro).

8. Maandalizi kwa kidato cha tano - Dido Januari - Juni 1982

9. Elimu ya Sekondari - Kidato cha 5 & 6 Seminari ya Mt.Yakobo (Kilema Chini - Moshi)

10. Masomo ya Falsafa 1984 - 1986 Kibosho Seminary - Moshi.

11. Elimu ya Tauhidi - Mt. Karoli Lwanga  Segerea DSM- mwaka wa 1 - 3 mwaka Julai 1986 - 1989.

12. Mwaka wa Kichungaji: Julai 1989 - Juni 1990 katika Shule ya Sekondari Hedaru.

13. Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Juni 1990  Kambi ya Oljoro (Arusha)

14. Ualimu Shule ya Sekondari Kilomeni  Juni 1991 - Juni 1992.

15. Elimu ya Tauhidi mwaka wa 4  Julai 1992 hadi Juni 1993 Seminari ya Mt.Karoli Lwanga (Segerea) Dare es salaam.

16. Ushemasi - 17.12.1992 Parokia ya Vumari

17. Upadrisho: 24.06.1993  Parokia ya Manolo

18. Misa ya Kwanza ya Shukrani 8.07.1993 Parokia ya Kilomeni

19. Utume wa kwanza: Parokia ya Kisangara Juu 15.07.1993

20. Utume wa 2: 08.07.1999 Parokia ya Gonja Maore

21. Utume wa 3: 09.02.2000 Parokia ya Kilomeni

22. Utume wa 4: 24.08.2000 Parokia ya Bwambo

23. Masomo ya juu: 31.07.2001 Roma - Italia

24. Utume wa 5: 25.12.2004  Parokia ya Manolo

25. Utume wa 6: 08.06.2006  Parokia ya Kisiwani/ Ijinyu LSOSF

26. Utume wa 7: 02.11.2006  Parokia ya Chabaru

27. Utume wa 8: Kindoroko Sekondari na Kigango - Kwakitanga

28. Utume wa 9: 15.07.2013 Parokia ya Kirongwe.

29.Utume wa 10: 14.04.2016  Parokia ya Kisangara Juu.

 

 

 

 

Birthdays' Today

Ordination Anniversaries Today

Home | About | NewsSitemap | Contact

Copyright ©2015 www.dioceseofsame.org. Powered by

Contact Us

DIOCESE OF SAME
P.O. Box 8,
SAME
Tel: 00255-27 2758028
E-mail: [email protected]