Ni tunda la maadhimisho ya Jubilei ya miaka 150 ya uinjilisjaji Tanzania Bara.

Furaha ya Injili .........Jimboni Same kama nyota ya imani imemwongoza Baba Askofu Rogath Kimaryo kutambua na kuimarisha hitaji la ukaribu wa huduma ya kanisa kwa waumini wa eneo la Bwawa la Nyumba ya Mungu. Eneo hilo limekuwa likipata huduma toka parokia ya Yesu Mwenye Huruma - Mwanga. Parokia hiyo ipo chini ya shirika la Wafrancisko Wakoventuale. Kwa sasa baada ya kufungua Parokia Teule imepewa jina au Somo Mtakatifu Maximillian Kolbe (Padre ambaye katika vita kuu ya pili ya dunia alifungwa katika kambi za mateso na mwisho alijitolea kuuawa badala ya baba mwenye familia).

Baba Askofu amemteua Padre Clement Mtey kuwa Paroko wa Parokia hiyo Teule.

Comments powered by CComment

Home | About | NewsSitemap | Contact

Copyright ©2015 www.dioceseofsame.org. Powered by

Contact Us

DIOCESE OF SAME
P.O. Box 8,
SAME
Tel: 00255-27 2758028
E-mail: [email protected]