MARCH 2017
TAR MATUKIO MAHALI WAHUSIKA
1 Wed Ash Wednesday- Sadaka Maalum,
Kampeni Ya Kwaresma Parokia Zote Waamini wote
6 Mon Kuleta mchango wa Walei Jimboni Parokia zote
Ziara ya kuhakiki mali za Jimbo
(6th – 10th) Dekania ya Shengena FAP
9 Thu Mkutano wa Wafanyakazi wa Jimbo Pastoral centre Wafanyakazi
11 Sat Hija ya Watawa Kilomeni Watawa wote
13 Mon Ziara ya kuhakiki mali za Jimbo
(13th – 17th) Dekania ya Kindoroko FAP
20 Mon Ziara ya kuhakiki mali za Jimbo
(20th – 24th) Dekania ya Chambogo FAP
27 Mon Mkutano wa Senate Bishop’s Residence Members
30 Thu Mkutano na sala (30 -31) Chanjale Mchungaji Mwema Brothers
31 Fri Kikao cha FAP Meeting room, Pastoral C. Finance Committee